Paroles de Nimaru

Les Wanyika
Aaa... Nimaru mtoto wa Tanga
Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama
Ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...

Ooo mwanamama ooo, Ooo mwanamama...

Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani
Nitarudi mama yoyoyooo,
Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya
Dunia ni vigumu kuepuka aaa

Ooo Nimaru mama ee, Nimaru mama, Nimaru bibi...
Ooo usilie mama ee, usilie mama, ninarudi TZ...
Ooo nitarudi bibi ee, nikuone mama, tufurahi pamoja...
Ooo nifurahi nawe ooo...
Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama
Ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...
Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama
Ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...
Ooo mwanamama ooo, Ooo mwanamama...
Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama
Ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...
Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama
Ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...
Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani
Nitarudi mama yoyoyooo,
Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya
Dunia ni vigumu kuepuka aaa
Ooo mwanamama ooo, Ooo mwanamama...
Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani
Nitarudi mama yoyoyooo,
Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya
Dunia ni vigumu kuepuka aaa
Ooo mwanamama ooo, Ooo mwanamama...
InterprèteLes Wanyika
LabelIUS
Paroles ajoutées par nos membresParoles ajoutées par nos membres