Paroles de Mtu Ni Moto

Corneille Akim
Marafiki
Nasema jambo
Wapenzi
Nimefanya ndoto
Nimejikuta ndani ya pori
Na pembeni
Nikaona mtoni
Baada ya kunywa maji
Ndugu nikaitaji
Lakini ni manyama tu nimeona
Tumbili, tembo, simba na kazalika
Ni raha kwangu ku sisimuka
Mwituni mwetu
Mutu ni moto
Anga nguvu ya imbwa mwitu
Kwangu ni raha
Kuwa pamoja nanyi
Marafiki wa jamii
Ndugu wa jamaa
Nawapenda Signor, Signorita
Na roho
Kwani mtu bila ndugu
Ni tunda lenye sumu
Amor en la corason instra travalas,
Corason, corasilo
Upendo udumu
Jamii tu jenge
Pamoja tukaruke kama ndege
Mwituni mwetu
Mutu ni moto
Anga nguvu ya imbwa mwitu
InterprèteCorneille Akim
Paroles ajoutées par nos membresParoles ajoutées par nos membres